|
Amezaliwa Bwana
Amezaliwa Yesu
Amezaliwa Amezaliwa
Amezaliwa Amezaliwa
Bwana wamabwana amezaliwa leo
Sasa na tupige vigelegele
na tupige makofi mara tatu,
tumtukuze Bwana mwokozi wetu
tumtukuze Beana nwokozi wetu.
Sasa na tupige vigelegele
na tupige makofi mara tatu,
tumtukuze Bwana mwokozi wetu
tumtukuze Beana nwokozi wetu.
|
|
|
 |
|
|
|